8 Juni
Mandhari
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Juni ni siku ya 159 ya mwaka (ya 160 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 206.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 68 - Bunge la Roma linamkubali mfalme mkuu Galba
- 218 - Pigano la Elagabalus, Kaisari wa Dola la Roma, kumshinda Kaisari Macrinus
- 536 - Silverius Mtakatifu amechaguliwa kuwa Papa
- 1624 - Mtetemeko wa ardhi unatokea katika nchi ya Peru
- 1866 - Bunge la Kanada linakutanika mara ya kwanza katika mji wa Ottawa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1810 - Robert Schumann, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1867 - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 1903 - Marguerite Yourcenar, mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji
- 1916 - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 1933 - Joan Rivers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1936 - Kenneth Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982
- 1947 - Eric Wieschaus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 1950 - Teddy Louise Kasela-Bantu, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1965 - Giovanni Cesare Pagazzi, askofu mkuu Mkatoliki nchini Italia
- 1975 - Michael Buckley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1977 - Kanye West, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 632 - Muhammad, nabii wa Uislamu
- 1845 - Andrew Jackson, Rais wa Marekani (1829-1837)
- 1997 - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 1998 - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria (1993-1998)
- 2009 - Omar Bongo, Rais wa Gabon (1967-2009)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimino wa Aix, Gildadi, Medadi, Fortunato wa Fano, Klodolfi, Wiliamu wa York, Yakobo Berthieu, Maria Teresa Chiramel n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |